×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Masomo ya Kiufundi:Vijani wa faidika katika mradi kwa kupewa nafasi katika Taasisi za kiufundi

25th May, 2018

        Taasisi ya Ufundi ya Kadenge katika kaunti ya Migori  

        kitaanza shughuli  za mafunzo kwa wanafunzi baada ya

        kupokea vifa vya thamani ya shilingi milioni mia moja  kutoka

        kwa serikali  ya uchinataasisi  hiyo ni miongoni

        mwa taasisi 134  kote nchini zitazotoa mafunzo ya kiufundi

        kwa vijana .  wakizungumza wakati wa kupokea vifaa  hivyo  ,

        katibu katika wizara ya ugatuzi Nelson Marwa amesema

        kwamba serikali ya kenya ikishirikiana na serikali ya uchina

        inamipango ya  kujenga na kutoa vifaa kwa taasisi hizo 

.
RELATED VIDEOS