.
22nd May, 2018
Viwanda vya mchele katika eneo la Mwea katika kaunti ya Kirinyaga wamejenga mabohari maalum ya kuhifadhi mchele ili kuhakikisha ubora wa mchele katika eneo hilo. Wakulima wa mchele sasa watakuwa wakiweka mchele kwa mabohari hayo bila malipo. Kulingana na wenye viwanda, ubora wa mchele umekuwa ukiathiriika wakati ambapo wakulima wamekuwa wakiuza mchele kwa madalali wanaouchanganya mchele wa pishori na aina nyengine