Zilizala Viwanjani: Mkufunzi wa timu ya Zoo Kericho Sammy Okoth atunzwa
22nd May, 2018
Baada ya kuandikisha ushindi mara tatu, kutoka sare mara mbili na kupoteza mchuano mmoja tu mwezi Aprili, mkufunzi wa timu ya Zoo Kericho Sammy Okoth ndiye mshindi wa tuzo ya SJAK ya kocha bora mwezi huo