×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jukwaa la KTN: Mwalimu afikishwa mahakamani kwa madai ya dhulma za kimapenzi na wanafunzi

21st May, 2018

Mwalimu mmoja katika shule ya upili mjini Kisumu amefikishwa mahakamani kwa madai ya dhulma za kimapenzi. Christine Brenda Awino alifikishwa mbele ya mahakama ya Maseno ambapo alikanusha mashtaka ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wa kike katika shule hiyo.

.
RELATED VIDEOS