Zilizala Viwanjani: Sportpesa yashirikiana na FKF kuzindua mashindano ya Sportpesa Shield
21st May, 2018
Kampuni ya Sportpesa ikishirikiana na shirikisho la soka nchini, FKF, ilizindua mashindano ya Sportpesa Shield, huku ushirikiano huo ukiwa wa kipindi cha miaka mitatu.