Shule ya upili ya Isiolo yafungwa kufuatia mvutano baina ya wanafunzi kuhusu dini
21st May, 2018
Shule ya upili ya Isiolo hapo jana ilifungwa kufuatia mvutano baina ya wanafunzi kuhusu dini. Mvutano huo ulianza mwendo wa saa kumi alfajiri wakati wanafunzi wa dini ya Kiislamu walipokuwa wakienda kuswali