×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Zamu ya Dkt Catherine Nyongesa daktari wa maradhi ya saratani katika mwanamke ngangari

21st May, 2018

Wengi huwa na dhana kwamba ugonjwa wa saratani huwa ni tiketi ya kifo. Lakini sio kwa daktari Catherine Nyongesa ambaye sasa anajivunia kuwa na mojawapo ya kituo kikuu cha kutibu saratani sio tu nchini bali barani Afrika. Kwenye makala ya mwanamke ngangari leo hii mwanahabari Sycilia Wakesho anaangazia safari ya mwanamke ambaye mtazamo wake kuhusiana na tiba ya saratani ulibadilika baada ya juhudi zao za kumtibu dadake saratani kufanikiwa. 

.
RELATED VIDEOS