Queens na Makolanders FC zaandikisha sare ya mabao 2-2 katika mechi ya ligi kuu ya kina dada nchini
20th May, 2018
Timu ya soccer Queens na Makolanders FC zimeandikisha sare ya mabao mawili kwa mawili katika mechi ya ligi kuu ya kina dada nchini iliyochezwa uwanjani Gikambura eneo la Kikuyu.