20th May, 2018
Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria kali za kudhibiti na kuelekeza matumizi ya kompyuta na mitandao.sheria hizo mpya zinatoa adhabu kali kama vile kufungwa gerezani kwa wahalifu wa mitandaoni na wasambazaji wa taarifa ghushi zisizothibitika. Utiaji saini wa sheria hizo umefanyika kukiwapo pingamizi kutoa kwa wadau.Wataotiwa hatiani kwa mujibu wa sheria hizo watahitajika kulipa hadi shilingi milioni tano pesa taslimu