×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shirikisho la raga laomba msaada wa kifedha kutoka kwa serikali na mashirika ya ufadhili

18th May, 2018

Shirikisho la raga nchini limeomba msaada wa kifedha kutoka kwa serikali na mashirika ili kuziwezesha timu za taifa kujiandaa na kushiriki michuano mbali mbali. KRU inahitaji takriban shilingi milioni 300 kwa mwaka kufanikisha shughuli zake.

.
RELATED VIDEOS