18th May, 2018
Katibu katika wizara ya vijana na jinsia Lillian Mbogo Omolo na mkurugenzi mkuu wa NYS Richard Ndubai wamejiondoa ili kutoa nafasi kwa uchunguzi unaozingira sakata ya shilingi bilioni kumi katika shirika la huduma za vijana nchini NYS.