Muungano wa KUSU watofautiana na UASU, wasema wafanyikazi wake wanaendelea na mgomo
18th May, 2018
Muungano wa wafanyikazi wa vyuo vikuu KUSU umesema kuwa wafanyikazi wake wanaendelea na mgomo huo.Hii ni hata baada ya uasu kusema kwamba mgomo huo umeshakwisha.