×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Mike Sonko asema kuwa haogopi kubanduliwa kutoka kwa kiti cha ugavana

18th May, 2018

Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko amesema kuwa haogopi kubanduliwa kutoka kwa kiti cha ugavana .Sonko amesema semi za kutaka kumuodoa  ni vitisho tu .katika mahojiano ya kipekee na runinga ya ktnnews sonko amesema kuwa ana haki ya kumteua yeyote anayetaka kuwa  naibu wake .Gavana sonko alimteua Miguna Miguna kama naibu wake lakini uteuzi huo umepata  pingamizi si haba . 

.
RELATED VIDEOS