Hali katika vyuo vikuu baada ya UASU kukomesha mgomo
18th May, 2018
Baada ya siku sabini na nane za mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu UASU hatimaye wametangaza kukomesha mgomo huo. Hii ni baada ya kuafikia makubaliano ya kurejea kazini na baraza la kuangazia maslahi ya vyuo vikuu IPUCCF