18th May, 2018
Mwezi mtukufu wa Ramadhan katika miji mingi pwani hubadilisha jinsi biashara zinavyoendeshwa hasa chakula. Baadhi ya hoteli tajika za mapishi ya uswahilini zimefungwa huku wauza tende na vyakula kama mkate wa sinia na mathobosha vikipendelewa sana