×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hali duni katika wadi ya akina mama ya kujifungua katika hospitali ya Mbagathi

16th May, 2018

Hali duni katika wadi ya akina mama ya kujifungua katika hospitali ya Mbagathi. Sasa imesababisha akina mama wanaotaka kujifungua kufukuzwa huku wafanyakazi wakisistiza kwamba halihiyo ni hatari inayosubiri kulipuka mwanahabari Sycilia wakesho anaripoti kwamba japo hawakuruhusiwa kuzuru wadi hizo, idadi kubwa ya akina mama wajawazito waliotaka kujifunguliwa kwenye hospitali hiyo wamefukuzwa tangia jumatatu wiki hii.

 

.
RELATED VIDEOS