.
16th May, 2018
Mwanamume wa umri wa makamo huko Thika namtaka afisa wa kushughulikia maslahi ya watoto Lynn Mwangi kumuachilia mtoto wake wa umri wa miaka 7 anayesemekana kuuzwa Uganda katika biashara haramu ya bianadamu.