×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gor Mahia kuchuana na Usm Alger kutoka Algeria katika uga wa Moi sports center Kasarani.

15th May, 2018

Hatimaye Gor Mahia watachuana na Usm Alger kutoka Algeria katika uga wa Moi sports center Kasarani. Awali kulikuwa na taarifa kwamba Kogalo hawatachezea uga huo baada ya baadhi ya mashabiki wake kuharibu mali katika mchuano wao na Hull City. Hata hivyo katibu wa wizara ya michezo balozi Peter Kaberia hatimaye ametoa afueni hii kwa mashabiki wa vigogo hao wa soka nchini.

.
RELATED VIDEOS