.
14th May, 2018
Mawakili wameandamana mjini huko Eldoret wakiwalaumu mahakimu kwa jinsi wanavyoendesha kesi ambazo wanasimamia. Baadhi ya mawakili wanadai kuwa kumekuwa na ucheleweshwaji wa kesi miongoni mwa mambo mengine yanayoathiri usimamizi wa haki mahakamani