Kabla ya ujio wa kamera za digitali kulikuwa na kamera za kutumia filim
14th May, 2018
Kabla ya ujio wa kamera za digitali kulikuwa na kamera za kutumia filim na ambazo zingechukua hata mwaka mzima kwa picha kukamilika. Tobias Chanji anaarifu katika makala ya juma hili ya zilizopendwa.