×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hali ya mafuriko Afrika Mashariki

13th May, 2018

 Idadi ya waliofariki kwenye mkasa wa bwawa la Solai katika kaunti ya nakuru, sasa imefika watu 48 bada ya miili  zaidi kupatiakana .Taarifa ya shirika la msalaba mwekundu inasema watu zaidi ya thelathini wameokolewa kufuatia operesheni ya pamoja iliyohusisha serikali ya kaunti na wadau wengine. Bwawa hilo lilipasuka jana usiku na maji kusomba vijiji vilivyokuwa  karibu . Shughuli za kuwaokoa wenyeji zinaendelea  

 

.
RELATED VIDEOS