11th May, 2018
Margaret Nyairera mshindi wa fedha katika mbio za mita mia nane katika mashindani ya jumuia ya madola hivi majuzi amedokeza kwamba ari yake ni kushamiri katika mbio za msimu huu. Na sawia na Hellen Obiri amesikitishwa na janga la utumizi wa dawa za kusisimua misuli.