×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jukwaa la KTN: Ugonjwa usiojulikana waua watu wanane eneo bunge la Tiaty

8th May, 2018

Habari zinazotufikia kutoka eneo bunge Tiaty ni kwamba ugonjwa ambao haujulikani umewaua watu wanane katika kijiji cha Lodeng'o kata ya Kolowa. Ugonjwa huo ambao dalili zake ni kuharisha, kutapika, maumivu ya tumbo umesababisha hofu katika sehemu hiyo muuguzi mkuu wa kituo cha afya cha Lodeng'o Clara Lotuw akidokeza kwamba sampuli za chembechembe zimepelekwa kwa uchunguzi maabarani

.
RELATED VIDEOS