.
7th May, 2018
Hapo jana mwendo wa saa nane na dakika arobaini mchana wanajeshi wa kikosi cha KDF walishambuliwa walipokuwa wakisafiri kutoka Dadaab kuelekea Dhobley.Kilipuzi kilichotegwa ardhini kiliwasababishia majeraha katika eneo la Sheftuk kilomita sita kutoka Dhobley