6th May, 2018
Mbunge wa Nyali Mohammed Ali amekariri kuwa yupo tayari kuzika tofauti zake na baadhi ya viongozi hasa katika kaunti ya Mombasa kwa minajili ya maendeleo.
Mbunge huyo amekuwa mara kwa mara akikwaruzana na uongozi wa kaunti ya Mombasa unaongozwa na gavana Hassan Ali Joho. Francis Mtalaki na maelezo kutoka Mombasa.