×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Lamu wakosa makao kutokana na mvua kubwa ambayo imesababisha mafuriko

5th May, 2018

Zaidi ya familia elfu tatu katika kaunti ya lamu zimeachwa bila ya makao baada ya nyumba zao kusombwa kwa mafuriko. Vijiji vya dide, waride na chalaluma vimefunikwa kwa maji baada ya mito Tana na Nyongoro kuvunja kingo zao

.
RELATED VIDEOS