×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu tisa wafariki katika kaunti ya Kajiado baada ya kusombwa na maji ya mafuriko

4th May, 2018

Watu  tisa  wamefariki baada ya kusombwa na maji ya mafuriko usiku wa kuamkia leo eneo la Kandisi kaunti ya kajiado. miili ya watu 6 ilipatikana  nampema leo na miili mingine 3 kupatikana jioni ya leo na kama anavyoripoti Nicholas Wambua, shirika la msalaba mwekundu limesema tangu mvua ya msimu huu kuanza, watu 112 wamefariki

.
RELATED VIDEOS