×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakenya wateta kutokana na kuwepo kwa bango kubwa lililoandikwa kwa lugha kichina Nairobi

4th May, 2018

Kuwepo kwa bango kubwa la kibiashara lililoandikwa kwa lugha kichina Nairobi kumezua gumzo na lalama baadhi ya watu wakisema ukoloni unarejea. Imeibuka kuwa bango hilo limeondolewa lakini bodi ya kuthibiti filamu nchini inashikilia kuwa mabango aina hiyo ni uchokozi kwa uma.

.
RELATED VIDEOS