×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa eneo la Githunguri wafanya maandamano

1st May, 2018

Shughuli za usafiri kwenye barabara ya Githunguri zilisitishwa kwa muda baada ya wakazi kuandaa maandamano. Mamia ya wenyeji walijitokeza kulalamikia ubovu wa barabara hiyo kutoka Githunguri hadi Kimende licha ya ahadi za serikali kuwa itatengenezwa. Wakazi hao waliojawa na hamaki waliwasha mioto kwenye barabara hio na hatimaye kuandamana hadi kwa ofisi ya Mbunge wa eneo hilo kutoa lalama zao

.
RELATED VIDEOS