×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Miili ya watu watano waliosombwa na mafuriko katika mto Enziu eneo la Mwingi East yatafutwa

30th April, 2018

Kwa juma la pili sasa miili ya watu watano waliosombwa na mafuriko katika mto Enziu eneo la Mwingi East haijapatikana.Sasa viongozi wa eneo hilo wanaitaka serikali ya kitaifa kubuni kundi maalum la kushughulikia dharura litakalojizatiti kutafuta miili ya watu hao. Aidha wanataka mikakati ya msaada kwa waathiriwa wa mafuriko huku athari zake zikiendelea kushuhudiwa sehemu nyingi za kaunti ya Kitui

.
RELATED VIDEOS