Gor Mahia washindwa kuzidisha uongozi wao baada ya kuzuiwa sare ya mabao na Mathare united
29th April, 2018
Gor Mahia wameshindwa kuzidisha uongozi wao kileleni mwa jedwali la ligi kuu ya soka nchini baada ya kuzuiwa sare ya mabao mawili kwa mawili na Mathare united uwanjani Kenyatta