27th April, 2018
Mwili wa marehemu Kenneth Stanley Matiba uliteketezwa alasiri ya leo kama alivyoagiza mwendazake zaidi ya miaka 25 iliyopita.
Licha ya wafuasi wake wa kaunti ya Murang’a kutofautiana na agizo la kuteketezwa, familia yake marehemu wametizima ombi la Matiba.