×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Elgeyo Marakwet Alex Tolgos alaumiwa baada ya kaunti kutoshiriki kongamano la ugatuzi

27th April, 2018

Gavana wa Elgeyo Marakwet Alex Tolgos amelaumiwa na baadhi ya waakilishi wadi katika kaunti hiyo kwa kile wanachokitaja kuwa ukosefu wa uwakilishi  wa kutosha katika kongamano la ugatuzi lililokamilika hapo jana mjini Kakamega. Wamelalama kuwa kaunti hiyo ndiyo kaunti pekee ambayo haikushiriki kwenye kongamano hilo ambalo lilifanywa kwa mwaka wa tano tangu kuanza kwa utawala wa magatuzi kwa mujibu wa katiba ya nchi.

.
RELATED VIDEOS