Mshambulizi wa AFC Leopards Ezekiel Odera atuzwa kama mchezaji bora wa mwezi wa Machi.
24th April, 2018
Mshambulizi wa AFC Leopards Ezekiel Odera ametuzwa kama mchezaji wa mwezi wa Machi.Odera aliwapiku wachezaji wenzake kama vile Cliff Nyakeya wa Mathare United na Elvis Rupia wa Nzoia Sugar waliotwaa kura 7 na 6 mtawalia