×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya Tusker Fc yamzindua Robert Matano kama kocha wake mpya

24th April, 2018

Timu ya Tusker Fc imezindua Robert Matano kama kocha wake mpya baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa mkufunzi Sam Timbe siku ya Jumapili baada ya msururu wa matokeo duni.Matano atachukua usukani mara moja huku akinuia kuandikisha ushindi dhidi ya timu ya Wazito Fc siku ya Jumatano huku lengo lake kuu likiwa ni kuimarisha matokeo ya Tusker pamoja na kuiwezesha kumaliza katika nafasi bora ligini.

 

.
RELATED VIDEOS