.
23rd April, 2018
Familia za watu watano kati ya saba waliokufa maji baada ya gari walimokuwa wakisafiria kusombwa na mafuriko huko Kinangop zinapanga mazishi ya wapendwa wao baada ya kutambua miili yao.Jamaa na marafiki walikongamana katika kijiji cha Maraigishu Kanjogo baada ya shughuli hiyo. Gari aina ya probox lililobeba watu 9 wakiwemo wanawake watatu walifariki jumapili baada ya mafuriko kusomba gari hilo katika barabara ya Maraigishu Githabai