Zilizala Viwanjani: Sportpesa warejea na mikataba ya miaka tatu kwa soka ya hapa nchini
23rd April, 2018
Zilizala Viwanjani: Sportpesa warejea na mikataba ya miaka tatu kwa soka hapa nchini.Gor Mahia watapata millioni 198,AFC Leopards Millioni 156 na FKF millioni 69