×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamuziki mashuhuri wa lingala Nyboma awasili nchini kwa mwaliko wa COTU

23rd April, 2018

Mwanamuziki mashuhuri wa lingala Nyboma Wwan'dido kutoka nchini Congo DRC amewasili nchini kwa mwaliko wa muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU. Nyboma alipokelewa jana usiku katika uwanja wa ndege wa JKIA na katibu wa COTU Francis Atwoli. Nyboma amekuja kutumbuiza kwenye sherehe za Leba Dei hapo Mei tarehe moja

.
RELATED VIDEOS