×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wachezaji raga wawili wanaodaiwa kumbaka mwanamuziki mmoja humu nchini wafikishwa mahakamani

23rd April, 2018

Wachezaji raga wawili wanaodaiwa kumbaka mwanamuziki mmoja humu nchini wamefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa ubakaji.Lawrence Frank Wanyama na Alex Mahaba Olaba walisomewa mashtaka ya ubakaji wa zamu tarehe 11 Februari mwaka huu mbele ya hakimu mkuu wa Nairobi Francis Andayi. Wawili hao wanashtakiwa kwa kufanya kitendo hicho katika jumba la Seefa eneo la Highrise. Wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki tano kila mmoja na kesi itasikizwa tarehe 16 mwezi ujao.

.
RELATED VIDEOS