22nd April, 2018
Huku wanariadha wa Kenya wakionyesha ubabe wao katika ubingwa wa london marathon hii leo, hapa nchini Sharon Cherop na Elkana Kibet Yego walingaa na wakawa washindi wa makala ya kwanza ya mbio za Eldoret city marathon zilizoandaliwa katika mji wa Eldoret