21st April, 2018
Rais mstaafu Mwai Kibaki amefika nyumbani kwa mwanasiasa mkongwe marehemu kenneth matiba kuomboleza na familia yake katika boma la marehemu katika eneo la Limuru hizi hapa ni baadhi ya picha za rais mtsafu akiwa na familia ya marehemu.Matiba alifariki siku ya jumapili alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Karen