Miondoko wa Spika wa seneti Kenneth Lusaka akiwa Pwani-Mirindimo
20th April, 2018
Kwenye makala ya mirindimo juma hili tunaangazia miondoko ya spika Kenneth Lusaka huko Pwani, kwa nini jamii ya maa wameshika mori juma hili na mbona signal yake julius malema yahitajika.