20th April, 2018
Gavana Mohamed Abdi wa chama cha Jubilee amengatuliwa tena mamlakani hii leo baada mahakama ya rufaa kutupilia mbali ombi la gavana huyo la kutaka uamuzi wa jaji wa mahakama kuu Alfred Mabeya kubatilishwa. Feisal Abdulrahman anaeleza