20th April, 2018
Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga amefanya mkutano wa saa mbili na nusu na rais mstaafu Mwai Kibaki nyumbani kwake huko Muthaiga. Japo madhumuni ya mkutano huo hayajatangazwa, kuwepo kwa gavana wa Nairobi Mike Sonko kwenye msafara wa Odinga kunazua maswali zaidi ya kisiasa kuhusiana na mustakabli wa Odinga. Duncan Khaemba anaarifu.