×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwenyekiti wa tume huru Wafula Chebukati amejitetea kwa kutofika

20th April, 2018

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka Wafula Chebukati amejitetea dhidi ya madai yaliyoibuliwa na makamishna watatu wa IEBC waliojiuzulu mapema wiki hii akisema ni ya kupotosha na kupaka tope jina lake. Chebukati pia ameelezea kuhusu mkutano wa tume yake na kamati ya bunge la seneti kuhusu masuala ya sheria, mkutano uliokosa kufanyika mapema leo kuangazia matukio kwenye tume hiyo.

.
RELATED VIDEOS