×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge wa Baringo Kusini-Grace Kipchoim afariki baada ya kuugua saratani ya tumbo-Dira ya Wiki

20th April, 2018

Jamaa na marafiki wameendelea kuwasili katika chumba cha kuhifadhi maiti cha lee jijini Nairobi kuwasilisha risala za rambirambi kwa kutokana na kifo cha mbunge wa Baringo kusini Grace Kipchoim. Kipchoim ambaye alifariki mapema leo katika hospitali ya Nairobi alikokuwa akipokea matibabu kwa maradhi ya saratani ya tumbo atakumbukwa na wengi kama mbunge ambaye alichaguliwa kwa muhula wa pili na wakazi wa eneo bunge lake akiwa anaugua pasi na kufanya  kampeni zozote. Baadhi ya wabunge waliofika Lee kuuona mwili wa mwenda zake wamemsifu kwa kuwa mstari wa mbele kupigania amani sawa na kukabiliana na tatizo sugu la wezi wa mifugo katika maeneo ya Samburu, Baringo na West Pokot. 

.
RELATED VIDEOS