20th April, 2018
Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko amewaahidi Gor Mahia kuwa atawapa msaada wa kifedha endapo wataendelea na matokeo mazuri katika michuano ya barani, Sonko aliwafadhili Ko’galo walipokuwa wanaelekea Afrika kusini na hapo jana akawalaki katika uwanja wa ndege na kuwakabidhi kitita cha shilingi milioni mbili.