20th April, 2018
Katika gumzo la kaunti hii leo tunaangazia bunge la kaunti ya Tharaka nithi. Mwakilishi wadi wa kuteuliwa milcent muggana nthiga atatueleza kuhusu mswada kuhusu ukusanyaji ushuru ulioratibiwa kujadiliwa. Tunakuuliza, je, umeridhishwa na mbinu za kukusanya ushuru katika kaunti yako? 22155 ni nambari ya arafa, ama kupitia twitter @ktnnews @mkapombe.