×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Michezo ya mashindano ya kaunti kuandaliwa katika kaunti ya Kisii

19th April, 2018

Makala ya sita ya mashindano ya michezo baina kaunti za humu nchini yataandaliwa huko kisii mwaka huu. Gavana wa Kisii James ongwae amechukua usukani huo kutoka kwa gavana wa machakos Alfred Mutua, kwenye mashindano ambayo yatawahusisha washindani wapatao elfu kumi mwaka huu.

.
RELATED VIDEOS