×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Maralal waitaka serikali kushughulikia suala la barabara ambayo imeathiri usafiri pakubwa

19th April, 2018

Wakazi wa Maralal wameitaka serikali ya kaunti kushughulikia suala la barabara kaunti hiyo kutokana na hali mbaya inayosababisha usafiri kuathirika pakubwa. Barabara ya maralal kuelekea nyahururu imebomolewa ili ujenzi kufanyika ila wenyeji wanasema imekuwa kibarua kwani mwanakandarasi hakutoa njia mbadala ya matumizi wakati wa ujenzi wa barabara hiyo. Magari sasa yamekuwa yakikwama kwenye barabara hiyo. Wanasema ni sharti hatua ichukuliwe.

.
RELATED VIDEOS